Uwanja wa michezo wa Georg Thabe

Uwanja michezo wa George Thabe ni uwanja wa michezo wenye matumizi ya mara kwa mara huko Sharpeville Gauteng Afrika Kusini. Unatumika kwa sasa kwa michezo ya mpira wa miguu (soka) na ni uwanja wa nyumbani wa Real Barcelona FC katika Ligi ya Vodacom.


From Wikipedia, the free encyclopedia ยท View on Wikipedia

Developed by Tubidy